leo tunaenda deep na kujifunza kutofautisha sim hizi mbili kwa kuitumia {perfomance}
- Tazama welcome screen zima sim kisha washa na tazama log in screen. Fake nyini huonyesha logo ya Android ama maneno kama welcome, wakati original yenyewe huonyesha logo ya Apple. Pia jaribu kuangalia katika home screen na ufungue app ya AppStore ikikupeleka playstore basi tambua ni fake.
- Cheki Application ya Siri Hii ni App ambayo iDevices tuu ndo zina uwezo wa kusoma na kuirun. hivo kama si original itashindwa kabisa.
- Tazama Operating Systeam Kama utaona kitu chochote tofauti na iOS basi jua hio sim ni feki kabisaa. iPhone inatumia iOS tuu na si vinginevo
- Unganisha kwenye iTunes Unganisha sim yako na kompyuta yako kupitia waya na fungua app ya iTunes kwenye Laptop/Pc yako. kama haitasoma sim ako basi jua tayari ni fake
asanteni sanahttps://en.wikipedia.org/wiki/IOS
No comments:
Post a Comment